Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akihutubia washiriki wa hafla ya uzinduzi wa mwongozo wa tathmini ya Mazingira Kimkakati Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Joseph Malongo akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa mwongozo wa tathmini ya Mazingira Kimkakati Jijini Dodoma.
Kaimu Mkurugenzi wa Mazingira, Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Esther Makwaia akiwasilisha maelezo kuhusu muongozo wa tathmini ya Mazingira Kimkakati Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhandisi Joseph Malongo akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba wakati wa hafla ya uzinduzi wa mwongozo wa tathmini ya Mazingira Kimkakati Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Mhe. Sadiq Morad akizungumzia umuhimu wa mwongozo wa tathmini ya mazingira kimkakati Jijini Dodoma.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Baraza La Taifa la Mazingira Dkt. Vedast Makota akizungumza wakati wa uzinduzi wa mwongozo wa tathmini ya mazingira kimkakati Jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa hafla ya mwongozo wa tathmini ya Mazingira Kimkakati Jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mkazi wa WWF Dkt. Amani Ngusaru akizungumza wakati wa uzinduzi wa mwongozo wa tathmini ya Mazingira Kimkakati Jijini Dodoma.
( Picha zote na Frank Mvungi)