Ikulu, Chamwino.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 17 Julai, 2020 amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali kama ifuatavyo;Kwanza, Mhe. Rais Magufuli amemteua Dkt. Jumanne Fhika kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe.
Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Fhika alikuwa Ofisi ya Rais na anachukua nafasi ya Bw. Christopher Ole Sendeka.
Pili, Mhe. Rais Magufuli amemteua Dkt. Aloyce Nzuki kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii.
Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Nzuki alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Malia...
Read More