Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa yote Tanzani Bara kwa njia ya video, akiwa ofisini kwake, Mlimwa jijini Dodoma, Machi 14, 2022.
Awataka Watanzania wajivunie mafanikio ya mwaka mmoja ya Rais Samia
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa wahakikishe Halmashauri zote nchini zinatumia vizuri mashine na mifumo iliyowekwa katika ukusanyaji wa mapato.
Aidha, Waziri Mkuu amewataka Wakuu hao wasimamie suala la uadilifu kwenye ukusanyaji wa mapato. “Jiridhisheni kile kinachokusanywa na kiasi kinachopelek...
Read More