Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea zawadi kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka kwenye uzinduzi wa filamu ya ‘The Tanzania Royal Tour’ uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Mei 15, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi walioshiriki katika uzinduzi wa filamu ya ‘The Tanzania Royal Tour’ katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Mei 15, 2022. Kutoka kushoto ni Spika wa Bunge, Dkt. Tulia...
Read More