Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Pauline Gekul akizungumza Bungeni leo jijini Dodoma
Na Shamimu Nyaki - WUSM, Dodoma
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Pauline Gekul amesema Serikali inawajali Makocha wazawa ambao wana sifa pia kupitia Mpango Mkakati wa kuendeleza Michezo wa Mwaka 2021 hadi 2031 imeweka kozi na mafunzo mbalimbali kwa ajili ya kuwaongezea ujuzi Makocha hao.
Mhe. Gekul amesema hayo leo Juni 22, 2022 Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mhe. Antipas Zeno (Malinyi) aliyetaka kuf...
Read More