Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Pauline Gekul akizungumza leo Septemba 16, Bungeni jijini Dodoma, wakati akijibu swali la Mhe. Shaban Omari Shekilindi (Lushoto) aliyeuliza Je ni lini Serikali itajenga Uwanja wa Michezo katika Mji wa Lushoto..
Na Shamimu Nyaki
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Pauline Gekul amesema ujenzi na uendelezaji wa miundombinu ya michezo ni jukumu la Serikali Kuu, Mamlaka ya Serikali za Mitaa, Taasisi, Mashirika ya Umma na Wadau wa michezo.
Ameyasema hayo leo Septemba 16, Bunge...
Read More