Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Afro-Asian Union (AFASU) kutoka nchini Misri ukiongozwa na Rais wa Taasisi hiyo, Dkt. Hossam Darwish, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo tarehe 24-9-2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Rais wa Taasisi ya Afro - Asian Union (AFASU) kutoka nchini Misri, Dkt. Hossam Darwish baada ya kumaliza mazungumzo na Uj...
Read More