Naibu katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Jenifa Omolo, akimkabidhi Meya wa Manispaa ya Moshi Mjini, Mhe. Mhandisi Zuberi Kidumo, nyaraka za umiliki wa kituo cha afya Moshi-Arusha katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. Katikati ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Jairy Khanga.
Na. Saidina Msangi, WFM, Kilimanjaro.
Serikali imekabidhi kituo cha Afya Moshi-Arusha pamoja na mali mbalimbali ikiwemo kiwanja na majengo vyenye thamani ya Shilingi bilioni 4.3 kwa Manispaa ya Moshi ili iweze kuki...
Read More