Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza mbio za hisani za Benki ya NMB (NMB Marathon) za kuchangia matibabu ya wanawake wenye tatizo la Fistula. Mbio hizo zilianzia katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es salaam na kuishia katika viwanja hivyo, Oktoba 01, 2022. Kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Slaa na kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB, Ruth Zaipuna
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akivishwa medali ya kumaliza mbio za hisani za Benki ya NMB (NMB Marathon) na Mwenyekiti wa Benki hiyo, Dkt. Edwin Mhende baada ya kumaliza mbio hi...
Read More