Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Rais wa Kituo cha kutengeneza vifaa tiba (Medical Device Development Centre) cha Korea, Bw. Felix K. Yie (kulia) kuhusu vifaa tiba vinavyotengenezwa kituoni hapo. Mheshimiwa Majaliwa alitembelea Kituo hicho akiwa katika ziara ya kikazi nchini korea Kusini, Oktoba 26, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Rais wa Kituo cha kutengeneza vifaa tiba (Medical Device Development Centre) cha Korea, Bw. Felix K. Yie (wa pili kulia) kuhusu vifaa tiba vinavyotengenezw...
Read More