Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Hali ya Usalama Barabarani Yaimarika
Dec 28, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_25757" align="aligncenter" width="750"] Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania(Traffic), SACP. Fortunatus Musilimu akizungumza na Wahandishi wa Habari kuhusu hali ya ajali na makosa ya barabarani kwa mwaka 2017 leo jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_25758" align="aligncenter" width="632"] Baadhi ya Maafisa wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani wakimsikiliza Kamanda wa Kikosi hicho SACP. Fortunatus Musilimu(hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu hali ya mwenendo wa hali ya usalama barabarani kwa mwaka 2017 katika ofisi za Makao Makuu ya Trafiki jijini Dar es Salaam leo.[/caption] [caption id="attachment_25759" align="aligncenter" width="750"] Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania (Traffic), SACP. Fortunatus Musilimu akizungumza na Wahandishi wa Habari kuhusu hali ya ajali na makosa ya barabarani kwa mwaka 2017 leo jijini Dar es Salaam. (Picha na: Frank Shija - MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi