Elisa Rwamiago, Afisa Msimamizi wa Fedha Mwandamizi TAMISEMI akitoa maelezo kabla ya kufunguliwa kwa mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa Fedha za Umma (EPICPOR) Toleo la 10.2.
Mwakilishi wa Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza, Isabella Marick, Katibu Tawala Msaidizi Sekta ya Mipango na Uratibu akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa Fedha za Umma kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa.
Meneja Mradi wa PS3 Mkoa wa Mwanza, Palestian Masai akitoa neno la ukaribisho kwa washiriki wa mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa Fedha za Umma....
Read More