[caption id="attachment_34048" align="aligncenter" width="926"] Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Steven Kebwe akiwaelezea jambo baadhi ya Mawaziri wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya utekelezaji wa Mradi wa uzalishaji umeme katika mto Rufiji (Rufiji Hydropower Project) mara baada ya kufika katika eneo la Matambwe wilayani Rufiji mkoani Pwani jana. Kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Waziri wa Nishati, Dkt. Merdard Kalemani na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi.[/caption]...
Read More