[caption id="attachment_34797" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Gavana wa Jimbo la Jiangsu nchini China, Bw. Guo Yuan Qiang kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing, Septemba 3, 2018. Waziri Mkuu yupo nchini China kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika - FOCAC.[/caption]
[caption id="attachment_34795" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Gavana wa Jimbo la Jiangsu nchini China, Bw. Guo Yua...
Read More