Adhabu kwa Wanafunzi Bila Kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu
Katibu Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Walimu, Bibi Winifrida Rutaindurwa ametoa onyo kwa Walimu wanaowaadhibu wanafunzi bila kuzingatia Sheria Kanuni na Taratibu zinazotoa mwongozo wa aina, kiwango na namna adhabu inavyotakiwa kutolewa kwa wanafunzi.
Amesema kuwa, kutoa adhabu ya viboko kwa wanafunzi bila kuzingatia taratibu zinazohusika sio tu kwamba inaleta athari kwa wanafunzi wanaoadhibiwa bali inaweza kusababisha chuki kati ya wazazi na walimu.
Ameeleza kuwa, Tume ya U...
Read More