[caption id="attachment_36989" align="aligncenter" width="800"] Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Jamii kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw.Patrick Golwike akifungua kikao kazi cha Kamati Tendaji ya Taifa ya ulinzi wa Wanawake na Watoto walipokutana kujadili Muongozo wa Uratibu wa Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (MTAKUWWA) 2017/18-2021/22, kilichofanyika Oktoba 17, 2018 katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma, kulia kwake ni Katibu wa Kamati hiyo Bw.Mwam...
Read More