[caption id="attachment_41293" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Madini Doto Biteko akiwa na Viongozi wa Kampuni ya Acacia wa mgodi wa North Mara, ofisini kwake jijini Dodoma. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Agness Marwa.[/caption]
Na Issa Mtuwa, Dodoma
Uongozi wa Kampuni ya Acacia kupitia Mgodi wa North Mara umezungumza na Serikali kuelezea hatua zilizochukuliwa hadi sasa kudhibiti maji yenye sumu ikiwa ni wiki moja tu ipite tangu Waziri wa Madini Doto Biteko, atangaze kufunga shuguli za mgodi huo endapo utashindwa ku...
Read More