Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), imetakiwa kutekeleza miradi wanayoisimamia kwa wakati na kuzingatia weledi ili kuongeza tija na uzalishaji katika Wakala huo.
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga wakati akifungua kikao cha siku mbili cha Baraza la wafanyakazi wa Wakala huo, jijini Dodoma.
Agizo la Katibu Mkuu huyo limefuatia baada ya kupata malalamiko kutoka kwa baadhi ya wateja wa Wakala huo amabapo wamesema kuwa Wakala huo umekuwa ukichelewesha miradi, hivyo ame...
Read More