[caption id="attachment_44121" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Spika wa Bunge la Rwanda, Mheshimiwa Donatile Mukabalisa kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Juni 11.2019.[/caption]
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewakaribisha wawekezaji kutoka nchini Rwanda waje wawekeze katika sekta mbalimbali na kwamba Serikali itawapa ushirikiano wa kutosha.
Ameyasema hayo leo (Jumanne, Juni 11, 2019) alipokutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Rwanda, Donatille Muka...
Read More