Na Mathew Kwembe, Mtwara
Mikoa ya Pwani, Simiyu, na Singida ndiyo inayoonekana kufanya vizuri katika mashindano mbalimbali ya UMISSETA yanayotarajiwa kukamilika tarehe 21 juni 2019.
Mkoa wa Pwani umepata medali 7 za dhahabu, 1 ya fedha na 2 za shaba, na hivyo kujipatia jumla ya medali 10 kwenye mashindano hayo.
Simiyu imepata medali 2 za dhahabu, 5 za fedha na 2 za shaba jumla ina medali 9
Mkoa wa Singida nao haukuwa nyuma katika kupata medali ambapo walipata medali 3 za dhahabu, 5 za fedha na 3 za shaba, hivyo jumla wamepata medali 1...
Read More