Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Makamu wa Rais Mhe. Samia Azindua Harambee ya Kuchangia Timu ya Taifa Stars
Jun 20, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_44620" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hundi ya Shilingi Milioni 10 kutoka kwa Viongozi wa CRDB Bank ikiwa ni mchango kwa Timu ya Taifa Stars kwenye Harambee ya kuchangia Timu ya Taifa Stars ilioyofanyika leo Juni 20, 2019 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam ambapo Jumla ya Shilingi Milioni 370 zilichangishwa hapo hapo.[/caption] [caption id="attachment_44621" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Harambee ya kuchangia Timu ya Taifa Stars ilioyofanyika leo Juni 20, 2019 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam ambapo Jumla ya Shilingi Milioni 370 zilichangishwa hapo hapo.[/caption] [caption id="attachment_44624" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka saini kwenye Jezi Mpya ya Timu ya Taifa Stars ikiwa ni ishara ya Uzinduzi wa Jezi hiyo wakati wa Harambee ya kuchangia Timu ya Taifa Stars ilioyofanyika leo Juni 20, 2019 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam ambapo Jumla ya Shilingi Milioni 370 zilichangishwa hapo hapo.[/caption] [caption id="attachment_44625" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hundi ya Shilingi Milioni 10 kutoka kwa Viongozi wa CRDB Bank ikiwa ni mchango kwa Timu ya Taifa Stars kwenye Harambee ya kuchangia Timu ya Taifa Stars ilioyofanyika leo Juni 20, 2019 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam ambapo Jumla ya Shilingi Milioni 370 zilichangishwa hapo hapo.[/caption] [caption id="attachment_44629" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wachangiaji kwenye Harambee ya kuchangia Timu ya Taifa Stars ilioyofanyika leo Juni 20, 2019 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam ambapo Jumla ya Shilingi Milioni 370 zilichangishwa hapo hapo.[/caption] [caption id="attachment_44630" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na ,Msemaji wa Timu ya Simba Haji Manara kwenye Harambee ya kuchangia Timu ya Taifa Stars ilioyofanyika leo Juni 20, 2019 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam ambapo Jumla ya Shilingi Milioni 370 zilichangishwa hapo hapo.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi