[caption id="attachment_46543" align="aligncenter" width="784"] Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Wenyeulemavu, Mhe. Stella Ikupa akijibu swali wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 06 Septemba 2019 jijini Dodoma. Kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais – UTUMISHI, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa.[/caption]
Na Lilian Lundo - MAELEZO, Dodoma
Jumla ya miradi 5,603 yenye thamani ya shilingi trilioni 2.6 imezinduliwa na Mwenge wa Uhuru kuanzia mwaka 2015 hadi mwaka 2018.
Hayo yameelezwa leo Bungeni Jijini Dodoma na...
Read More