Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Ziara ya Dkt. Abbasi na TAGCO
Sep 06, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_46525" align="aligncenter" width="750"] Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas akifafanua jambo katika ziara yake ya kutembelea kituo cha Radio City Fm, kinachomilikiwa na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_46526" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Kitengo cha Itifaki, Uhusiano na Umma wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Gaston Makwembe akifafanua jambo katika ziara iliyofanywa na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas ya kutembelea kituo cha Radio City Fm, kinachomilikiwa na Halmashauri ya Jiji hilo.[/caption] [caption id="attachment_46527" align="aligncenter" width="750"] Dkt. Hassan Abbas akifafanua jambo katika kitengo cha utalii cha Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_46528" align="aligncenter" width="750"] Dkt. Hassan Abbas akiwafafanulia jambo Madaktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_46529" align="aligncenter" width="750"] Dkt. Hedwiga Swai akielezea mfumo wa matumizi ya mashine ya Imaging Resonance Magnetic (IMR) katika chumba maalum cha uchunguzi wa magonjwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, leo Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_46530" align="aligncenter" width="750"] Dkt. Patrick akionesha mfumo unaotumika katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wa kuingiza majina na maelezo ya wagonjwa na mpango wa kuwahudumia kupitia kompyuta.[/caption] [caption id="attachment_46531" align="aligncenter" width="750"] Mtaalam wa kutumia CT scan mashine akielezea jinsi mashine hiyo inavyofanya kazi na idadi ya watu inayohudumia kwa siku katika Hospitali ya Taifa Muhimbili leo jijini Dar es Salaam.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi