Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Bungeni Septemba 5, 2019
Sep 05, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_46516" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe William Lukuvi akisisitiza jambo kwa  Mwanasheria mkuu wa Serikali Prof. Aderladus Kilangi Bungeni Jijini Dodoma leo Septemba 5, 2019[/caption] [caption id="attachment_46517" align="aligncenter" width="900"] Mwanasheria mkuu wa Serikali Prof. Aderladus Kilangi akisisitiza kuhusu hatua zinazofuatwa katika kutunga kanuni zinazosimamia uchaguzi wa Serikali za dert köşesi canlı dert köşesi dert ortağı canlı bahis sex hattı Mitaa wakati wa kipindi cha maswali na majibu Bungeni Jijini Dodoma leo Septemba 5, 2019.[/caption] [caption id="attachment_46518" align="aligncenter" width="837"] Naibu Waziri wa nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Sima akisisititiza kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kuzuia uharibifu wa mazingira hapa nchini wakati wa kipindi cha maswali na majibu Bungeni Jijini Dodoma leo Septemba 5, 2019.[/caption] [caption id="attachment_46519" align="aligncenter" width="726"] Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Hussein Bashe akisisitiza jambo wakati wa kipindi cha maswali na majibu Bungeni Jijini Dodoma leo Septemba 5, 2019.[/caption] [caption id="attachment_46520" align="aligncenter" width="900"] Sehemu ya wageni waliofika Bungeni kwa ziara ya mafunzo wakifuatilia kipindi cha maswali na majibu Bungeni Jijini Dodoma leo Septemba 5, 2019.[/caption] [caption id="attachment_46521" align="aligncenter" width="900"] Naibu Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dkt. Mary Mwanjelwa akieleza mikakati ya Serikali katika kuendelea kuwezesha kaya masikini hapa nchini leo Septemba 5, 2019 Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_46522" align="aligncenter" width="803"] Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akieleza mikakati ya Serikali katika kuinua michezo hapa nchini leo Bungeni Jijini Dodoma.
                                                                                                  (Picha zote na MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi