Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Bungeni leo
Sep 06, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_46537" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akiteta jambo na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Khamis Kigwangallah wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 6 Septemba 2019 jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_46538" align="aligncenter" width="842"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Selemani Jafo akifafanua jambo alipokuwa akijibu swali la nyongeza wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 06 Septemba 2019 jijini Dodoma.Kushoto ni Waziri wa Masuala ya Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Agustine Mahiga.[/caption] [caption id="attachment_46539" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Luvuvi akijibu swali wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 06 Septemba 2019 jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_46540" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile akijibu swali wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 06 Septemba 2019 jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_46541" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Selemani Jafo akijibu swali wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 06 Septemba 2019 jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_46542" align="aligncenter" width="768"] Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe akijibu swali wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 06 Septemba 2019 jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_46543" align="aligncenter" width="784"] Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Wenyeulemavu, Mhe. Stella Ikupa akijibu swali wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 06 Septemba 2019 jijini Dodoma. Kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais – UTUMISHI, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa.[/caption] [caption id="attachment_46544" align="aligncenter" width="966"] Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Adeladus Kilangi akisoma muswada wa mapendekezo ya mabadiliko ya sheria mbalimbali wa mwaka 2019 wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 06 Septemba 2019 jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_46545" align="aligncenter" width="957"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akiteta jambo na Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Katikati) pamoja na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mhe. Lameck Mwigulu Nchemba (kushoto) wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 06 Septemba 2019 jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_46546" align="aligncenter" width="950"] Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akiteta jambo na Mbunge wa jimbo la Chemba, Mhe. Juma Nkamia wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 06 Septemba 2019 jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_46547" align="aligncenter" width="720"] Baadhi ya watendaji toka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakifuatilia uwasilishaji wa Muswada wa Mabadiliko ya Sheria Mbalimbali wakati wa kikao cha Nne cha Mkutano wa 16 wa Bunge leo tarehe 6 Sepmtemba 2019 jijini Dodoma. Miongoni mwa Sheria zinazokusudiwa kufanyiwa maerekebisho ni Sheria ya Basata ya mwaka 1984.(Picha na Idara ya Habari – MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi