Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Misawa Yasushi alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 9-11-2022 na (kulia kwake) ni Afisa wa Ubalozi wa Japan nchini Tanzania, Bi. Eri Ogawa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Japan Nchini Tanzania, Mhe. Misawa Yasushi, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo...
Read More