[caption id="attachment_46810" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, wakati akiwasili katika viwanja vya Don Bosco, kwenye uzinduzi wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na uwekaji wa kumbukumbu ya miaka 100 ya ILO, jijini Dodoma, Septemba 14.2019.[/caption]
[caption id="attachment_46811" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia vipuri vilivyo chongwa na wanafunzi wa Chuo cha...
Read More