Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Azindua Mfumo wa Uendeshaji Bunge Kidigitali
Sep 13, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_46773" align="aligncenter" width="750"] Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, akizungumza na Wabunge, baada ya uzinduzi wa mfumo wa uendeshaji Bunge kidigitali, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 12.2019.[/caption] [caption id="attachment_46774" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai (kulia) wakiangalia mfumo wa uendeshaji Bunge kidigitali, baada ya kuzinduliwa, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 12.2019.[/caption] [caption id="attachment_46775" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Wabunge, kwenye uzinduzi wa mfumo wa uendeshaji Bunge kidigitali, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 12.2019.[/caption] [caption id="attachment_46776" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizindua mfumo wa uendeshaji Bunge kidigitali, katika ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 12.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi