[caption id="attachment_46810" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, wakati akiwasili katika viwanja vya Don Bosco, kwenye uzinduzi wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na uwekaji wa kumbukumbu ya miaka 100 ya ILO, jijini Dodoma, Septemba 14.2019.[/caption] [caption id="attachment_46811" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia vipuri vilivyo chongwa na wanafunzi wa Chuo cha Don Bosco Dodoma, kwenye uzinduzi wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na uwekaji wa kumbukumbu ya miaka 100 wa ILO, uliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco, jijini Dodoma, Septemba 14.2019.[/caption] [caption id="attachment_46812" align="aligncenter" width="717"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia dawati lililotengenezwa katika Chuo cha Don Bosco Dodoma, kwenye uzinduzi wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na uwekaji wa kumbukumbu ya miaka 100 wa ILO, uliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco, jijini Dodoma, Septemba 14.2019.[/caption] [caption id="attachment_46813" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mfano wa nyumba uliyojengwa na matofali ya kisasa ya kupachika , kwenye uzinduzi wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na uwekaji wa kumbukumbu ya miaka 100 wa ILO, uliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco, jijini Dodoma, Septemba 14.2019.[/caption] [caption id="attachment_46814" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia ramani za nyumba zinazojengwa na matofali ya kisasa ya kupachika , kwenye uzinduzi wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na uwekaji wa kumbukumbu ya miaka 100 wa ILO, uliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco, jijini Dodoma, Septemba 14.2019.[/caption] [caption id="attachment_46819" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akihutubia kwenye uzinduzi wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na uwekaji wa kumbukumbu ya miaka 100 wa ILO, uliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco, jijini Dodoma, Septemba 14.2019.[/caption] [caption id="attachment_46817" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akizungumza, kwenye uzinduzi wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na uwekaji wa kumbukumbu ya miaka 100 wa ILO, uliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco, jijini Dodoma, Septemba 14.2019.[/caption] [caption id="attachment_46815" align="aligncenter" width="750"] Makamu Mkuu wa Shirika la Don Bosco Kanda ya Afrika, Augustine Sellam akizungumza, kwenye uzinduzi wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na uwekaji wa kumbukumbu ya miaka 100 wa ILO, uliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco, jijini Dodoma, Septemba 14.2019.[/caption] [caption id="attachment_46816" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Makamu Mkuu wa Shirika la Don Bosco Kanda ya Afrika, Augustine Sellam akizungumza, kwenye uzinduzi wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na uwekaji wa kumbukumbu ya miaka 100 wa ILO, uliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco, jijini Dodoma, Septemba 14.2019.[/caption] [caption id="attachment_46820" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Makamu Mkuu wa Shirika la Don Bosco Kanda ya Afrika, Augustine Sellam akizungumza, kwenye uzinduzi wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana na uwekaji wa kumbukumbu ya miaka 100 wa ILO, uliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco, jijini Dodoma, Septemba 14.2019.[/caption] [caption id="attachment_46821" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiweka jiwe la kumbukumbu na upandaji miti 100, kuadhimisha miaka 100 ya ILO, katika mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, Septemba 14.2019.[/caption] [caption id="attachment_46822" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipanda mti katika kuadhimisha miaka 100 ya ILO na upandaji miti 100, katika mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, Septemba 14.2019.[/caption] [caption id="attachment_46823" align="aligncenter" width="635"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimwagilia mti katika kuadhimisha miaka 100 ya ILO na upandaji miti 100, katika mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, Septemba 14.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).[/caption]