[caption id="attachment_14575" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Anastazia Wambura akiongea na Viongozi mbalimbali pamoja na Watawa wa Shirika la Watawa wa MaryKnoll wakati wa Ibada ya kumuaga Marehemu Sista Jean Pruitt iliyofanyika katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam. [/caption]
Na Benedict Liwenga-WHUSM.
NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Anastazia Wambura amesema kwamba Mwanzilishi wa Nyumba ya Sanaa pamoja na Vituo mbalimbali vya Sanaa na Utamaduni...
Read More