Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipiga Kura kuchagua `Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania bungeni jijini Dodoma, Septemba 22. 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako bungeni jijini Dodoma, Septemba 22.2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mikumi, Denis Lazaro bungeni jijini Dodoma, Septemba 22.2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Hama...
Read More