Matukio katika Picha: Waziri Mkuu Akiwa Bungeni Leo
Sep 22, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako bungeni jijini Dodoma, Septemba 22.2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mikumi, Denis Lazaro bungeni jijini Dodoma, Septemba 22.2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Hamad Chande bungeni jijini Dodoma, Septemba 22. 2022
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu (Kazi Maalum), George Mkuchika bungeni jijini Dodoma, Septemba 22. 2022.