Rais Dkt. Mwinyi Akutana na Mabalozi Walioteuliwa Hivi Karibuni
Sep 22, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kuiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali (wa pili kulia) ni Mhe. Balozi Simon Nyakoro Sirro nchini Zimbabwe, Mhe. Balozi Lt. Jen. Mathew E. Mkingule nchini Zambia na Mhe. Balozi Caroline Chipeta nchini Uholanzi mara walipofika Ikulu leo kujitambulisha na kupata maelekezo ya kazi watapofika katika vituo vyao vya kazi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa katika picha na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni kuiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali (wa pili kushoto) ni Mhe. Balozi Simon Nyakoro Sirro nchini Zimbabwe, Mhe. Balozi Lt. Jen. Mathew E. Mkingule nchini Zambia (kushoto) na Mhe. Balozi Caroline Chipeta nchini Uholanzi mara baada ya mazungumzo kupata maelekezo ya kazi watapofika katika vituo vyao vya kazi walipofika Ikulu leo Kujitambulisha