[caption id="attachment_47016" align="aligncenter" width="1000"] Afisa Kilimo wa Halmashauri ya Kondoa Bw. Juvenal Mvumi akipokea maagizo kutoka kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama kuhusu mradi huo alipotembea kwa lengo la kujionea maendeleo ya vijana waliopatiwa mafunzo ya kilimo kupitia teknolojia ya Kitalu Nyumba.[/caption]
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imefanikiwa kuwawezesha vijana wapatao 18,000...
Read More