Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Maafisa Habari Watakiwa Kuzingatia Weledi Uandishi wa Taarifa kwa Umma
Sep 17, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_46979" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akiwasilisha mada kuhusu uandishi wa taarifa kwa umma wakati wa mafunzo kwa maafisa hao leo tarehe 17 Septemba 2019 jijini Dodoma. Mafunzo hayo ya siku tano yameandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao.[/caption] [caption id="attachment_46980" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akisisitiza jambo wakati wa mafunzo kwa maafisa hao leo tarehe 17 Septemba 2019 jijini Dodoma. Mafunzo hayo ya siku tano yameandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao.[/caption] [caption id="attachment_46983" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Maafisa Habari wa Serikali na taasisi zake wakijadiliana katika makundi mara baada ya kusikiliza mada toka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi (hayupo pichani) wakati wa siku ya pili ya mafunzo kwa maafisa hao leo tarehe 17 Septemba 2019 jijini Dodoma. Mafunzo hayo ya siku tano yameandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao.[/caption] [caption id="attachment_46984" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Maafisa Habari wa Serikali na taasisi zake wakijadiliana katika makundi mara baada ya kusikiliza mada toka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi (hayupo pichani) wakati wa mafunzo kwa maafisa hao leo tarehe 17 Septemba 2019 jijini Dodoma. Mafunzo hayo ya siku tano yameandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao.(Picha na: Idara ya Habari – MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi