Na: Prisca Libaga, MAELEZO, Longido, Arusha.
MWENGE wa Uhuru ambao umeanza mbio zake Wilayani Longido, umezindua miradi mbalimbali sita ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 3.1
Hayo yamebainishwa na Mkuu wa wilaya ya Longido, Godfey Daniel Chongolo, alipokuwa akipokea Mwenge huo kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Rashid Mfaume Taka jana na kueleza kuwa miradi hiyo itahusisha ujenzi wa vyumba vitatu vya Shule ya Sekondari ya Natron Flamingo, mradi wa kikundi cha wanawake kinachojihusisha na utengezaji wa bidhaa za asili kw...
Read More