Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo , Dkt. Hassan Abbasi akizungumza na viongozi na wachezaji wa timu ya mpira ya Walemavu wakiwa nchini Uturuki kwa ajili ya kupambania ubingwa wa Kombe la Dunia.
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan anafuatilia na anawatakia mema Timu ya Taifa ya Tembo Warriors ambayo Oktoba Mosi mwaka huu wataingia dimbani kuanza kupambania ubingwa wa Kombe la Dunia hapa Istanbul, Ututuki.
Akizungumza kwa...
Read More