Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watanzania wanaoishi nchini Japan akiwataka watambue fursa zilizopo nchini na kuzisemea vizuri ili iwe fursa ya kupata wawekezaji ambao watakuja kuwekeza kwenye sekta mbalimbali na ikibidi wafanye ubia na Watanzania.
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa