[caption id="attachment_35897" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rai, Mama Samia Suluhu Hassani akisalimiana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangala mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Dar es Salaam, kuzindua kikosi cha Kutatua changamoto za viumbe wageni/vamizi, hafla iliyofanyika leo Ijumaa, Septemba, 28. 2018. Kutoka kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Joseph Malongo, Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso, kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya M...
Read More