[caption id="attachment_35897" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rai, Mama Samia Suluhu Hassani akisalimiana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangala mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Dar es Salaam, kuzindua kikosi cha Kutatua changamoto za viumbe wageni/vamizi, hafla iliyofanyika leo Ijumaa, Septemba, 28. 2018. Kutoka kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Joseph Malongo, Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso, kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba na Waziri wa Kilimo, Dkt.Charles Tizeba.[/caption] [caption id="attachment_35898" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassani akizungumza jambo na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangala na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba, mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, kuzindua kikosi cha Kutatua changamoto za viumbe wageni/vamizi, hafla iliyofanyika leo Ijumaa, Septemba 28, 2018.[/caption] [caption id="attachment_35899" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya wataalam wakimsikiliza Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassani, katika Uzinduzi wa kikosi cha Kutatua changamoto za viumbe wageni/vamizi, hafla iliyofanyika leo Ijumaa, Septemba 28, 2018, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere.[/caption] [caption id="attachment_35900" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Joseph Malongo, akitambulisha kikosi cha kutatua changamoto za viumbe wageni/vamizi, mbele ya Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassani, katika hafla iliyofanyika leo Ijumaa, Septemba 28, 2018 Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_35901" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye picha na viongozi wa Serikali pamoja na kikosi cha kutatua changamoto za viumbe wageni/vamizi, mara baaada ya uzinduzi wa Kikosi hicho uliofanyika Ijumaa, Septemba 28, 2018 Jijini Dar es Salaam.[/caption]