Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Ndugu James Mbatia, wakati walipokutana katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam, Septemba 2, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Ndugu James Mbatia, wakati walipokutana katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam, Septemba 2, 2022.
Read More