Na: Lilian Lundo – MAELEZO – DODOMA
Matumizi ya mfumo wa ukusanyaji mapato kwa njia ya kielekroniki (EFDs) umeongeza mapato ya kodi za Serikali kwa Majiji, Manispaa na Halmashauri hapa nchini.
Hayo yameelezwa leo, Mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo alipokuwa akifungua mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa majiji, manispaa na halmashauri Tanzania Bara.
“Kabla ya matumizi ya mashine za EFDs baadhi ya halmashauri zilikuwa zikikusanya kati ya shilingi mil...
Read More