Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor akizungumza na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia, Dkt. Hafez Ghanem Ikulu Chamwino mkoani Dodoma Septemba 28, 2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango hii leo Septamba 28, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia, Dkt Hafez Ghanem Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
Katika mazungumzo hayo, Makamu wa Rais, Dkt. Mpango amemuhakikishia Dkt. Ghanem kwamba Tanzania itaendelea kushirikiana na Benki hiyo k...
Read More