Rais Samia Akutana na Kuzungumza na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Ikulu Chamwino
Sep 28, 2021
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia ulioongozwa na Makamu wa Rais wa Benki hiyo, Dkt. Hafez Ghanem Ikulu Chamwino Jijji Dodoma leo Sept 28,2021. Picha na Ikulu