Na Immaculate Makilika na Jonas Kamaleki – MAELEZO
Mfumo wa Kielektroniki wa Ukusanyaji wa Mapato ya Kodi, Maduhuli, Tozo na Huduma Mbalimbali za Serikali (GePG) unatajwa kusaidia kuokoa fedha nyingi za Serikali zilizokuwa zikipotea kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo udanganyifu.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali, Bw. Doto James akizungumza wakati wa halfa ya kupokea ripoti ya tathimini ya Mfumo wa Kielektroniki ya Ukusanyaji wa Mapato na Usimamizi wa Fedha za Umma, ambapo amewaagiza Afisa Masuhuli...
Read More