[caption id="attachment_13650" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (Aliyevaa skafu) akiongea na Viongozi, Washiriki pamoja na wageni toka nchi mbalimbali (hawapo pichani) wakati wa Ufungaji wa Tamasha la Utamaduni na Sanaa Afrika Mashariki (JAMAFEST) kwa mwaka 2017 katika Ukumbi wa Taifa wa Maonyesho wa nchini Uganda, 14 Septemba, 2017.[/caption]
Na Benedict Liwenga, Kampala-Uganda.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amesema kwamb...
Read More