Na Paschal Dotto-MAELEZO
02-09-2019
Baada ya tukio kubwa la Maonesho ya biashara ya kimataifa (sabasaba), yakifuatiwa na Maonesho ya Wiki ya Viwanda ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), sasa Tanzania inaenda kuandika historia nyingne katika sekta ya Biashara na uwekezaji kwa Kongamano kubwa la Wafanyabishara wa Tanzania na Uganda kukutana Septamba 6-7, 2019, Katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC)
Matukio hayo ya muhimu yenye sura za kimataifa yametokea ndani ya miezi miwili tu na hili linaloangazwa na wafanyabiashara...
Read More