Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Mhe. Dkt. Magufuli Akutana na Watendaji wa Kata
Sep 02, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_46424" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Watendaji wa Kata zote za mikoa ya Tanzania Bara Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_46425" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Watendaji wa Kata zote za mikoa ya Tanzania Bara Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_46430" align="aligncenter" width="750"] Watendaji wa Kata zote za mikoa ya Tanzania Bara wakifurahia jambo wakati walipokuwa wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_46431" align="aligncenter" width="750"] Sehemu ya Watendaji Kata wakiwa katika mkutano wao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_46432" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasikiliza Watendaji wa Kata katika Mkutano na Watendaji hao wa Kata zote za Mikoa ya Tanzania Bara Ikulu jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu Ikulu Dkt. Moses Kusiluka[/caption] [caption id="attachment_46434" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya Watendaji Kata kutoka mikoa mbalimbali wakizungumza katika mkutano wao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi