Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akihudhuria maziko ya Marehemu Askofu Mstafu wa Kanisa la Anglikana Mkunazini Zanzibar, John Ramadhan yaliyofanyika katika Kanisa la Mkunazini leo tarehe 17-9-2022 na (kulia kwa Rais) ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Ikulu, Mhe. George Mkuchika na Jaji Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Khamis Ramadhan Shaban
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Askofu Mstafu wa Kanisa la Angli...
Read More