Waziri Mkuu Awataka Mabalozi Kuhamasisha Masoko na Uwekezaji
Sep 19, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa Tanzania walioapishwa hivi karibuni baada ya kuzungumza nao ofisini kwake bungeni jijini Dodoma, Septemba 19, 2022. Kutoka kushoto ni Balozi Simon Sirro (Zimbabwe), Balozi Caroline Chipeta (Uholanzi) na Balozi Luteni Generali Mathew Mkingule (Zambia).